Sunday, September 11, 2011

LIL WAYNE ANAPOFUNDISHA WATU KUPENDA


Watu wengi tumekuwa tukilaumu nyimbo nyingi za Lil Wayne a.k.a Lil weezy kujaa matusi na kutokuwa na maana yoyote kwa jamii. Lakini katika wimbo wake huu wa ''How to Love''jamaa anajaribu kuifundisha jamii kuwa na upendo na hata ukitazama video yake utaona kuwa anajaribu kuiondoa jamii katika upande wa negative kwenda positive.
LIL WAYNE-HOW TO LOVE

No comments:

Post a Comment