UNAPATA PICHA GANI??WEWE UNGEKUWA RIDHIWANI NA UNAUSIKILIZA WIMBO WA IZZO BUSINESS "RIZ-ONE''. AU UNGEKUWA MKUU MWENYEWE NDIO UPO IKULU NA UNATAZAMA ILE VIDEO......??
Izzo Business amejitahidi kufikisha ujumbe katika style ya aina yake,na hata video amejitahidi sana...ikiwemo hata Mjuni Silyvanus a.k.a Mpoki aliyeigiza kama Ridhiwani....
TAZAMA VIDEO YA ''RIZ-ONE''HAPO CHINI
No comments:
Post a Comment