Monday, October 24, 2011

UTAFITI :TOVUTI ZA PORNO ZINA ATHARI KWA VIJANA


Utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Padua kilichopo nchini Italia umeonesha kuwa vijana wengi wana athirika sana kisaikolojia kutokana na kutazama na kufuatilia kupita kiasi tovuti za porno. Utafiti huo uliofanywa nchini Italia na kwingineko unaonesha kuwa vijana wengi wanapokuwa katika umri wa miaka 11-19 wanakuwa wanatazama picha za porno ambazo uwaletea madhara baadae. Kiasi cha kuathirika kisaikolojia na hata kushindwa kupafomu tendo lenyewe kihalisia. Utafiti unaonyesha wanaume wengi huko Italia ambao walikenda kwa wataalamu wa mambo ya saikolojia kwa ajili ya kutafuta ushauri iligundulika kuwa wengi wao wameathirika na kutazama kufuatilia tovuti za porno.
Tovuti za porno zimeshauriwa kutoruhusu wanaume chini ya miaka 35 kutembelea tovuti hizo kwa sababu za kiafya.
VIPI KWA HAPA TANZANIA??????????????????

No comments:

Post a Comment