Msanii mwenye vituko vya kila aina katika tasnia ya muziki Lady Gaga juzi Jumamosi alitumbuiza katika kusanyiko moja la Mashoga,na kutaka mashoga pia wapatiwe haki zao. Alidai ni wakati wa mashoga kupatiwa haki zao,na jamii kuwatambua. "Today and every day we fight for freedom. We fight for justice. We beckon for compassion, understanding and above all we want full equality now,".
"We have the same DNA. We were just 'born this way".
Huyo ndio Lady Gaga!!
SHUHUDIA PICHA MBALIMBALI ZA LADY GAGA NA MAUTUNDU YAKE!!
No comments:
Post a Comment