Monday, June 13, 2011

FAT JOE APUNGUA KILO 32


Rapper mwenye umbo kubwa Joe Catagena '' Joe Crack" a.k.a Fat Joe ameshangaza watu kutokana na hivi karibuni kuonekana kuwa na umbo lililopungua sana. Yeye mwenyewe amekiri kupungua kiasi cha uzito wa kilo 32.
Amekiri kupenda kuwa mnene lakini kutokana na kuondokewa na watu wake wa karibu 7 kutokana na ugonjwa wa moyo,ndiyo kumemfanya kuacha kula pasipo na mpangilio.
Swali ni je Rapper huyu ataendelea kujiita Fat Joe au atabadilisha jina na kujiita Slim Joe?
HAPA NI WAKATI AKIWA BIG!!
NA HAPA NI FAT JOE WAKATI HAJAPUNGUA NA BAADA YA KUPUNGUA!!

No comments:

Post a Comment