Thursday, June 9, 2011

BELLE 9 NA VIDEO YA NILIPE NISEPE


Alipoanza ilikuwa kama utani. Ukisikiliza ngoma zaked kama 'masogange','wewe ni wangu',na hata ile aliyoshirikishwa na Shetta iitwayo 'nimechoka'. Utagundua Belle 9 ana kipaji na ni mbunifu.
HII HAPA NI VIDEO YAKE MPYA YA WIMBO UNAOTAMBA SASA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA REDIO. Tofauti na wasanii wengi ambao upendelea kuimba nyimbo zinazohusu mapenzi tu wakihofia kukosa soko,Belle 9 ametoa wimbo ambao unaelezea matatizo yanayotokea katika jamii yetu,hususani katika suala la kukopa au kukopeshwa. Get it!!

No comments:

Post a Comment