Thursday, June 9, 2011

HABARI NJEMA KUHUSU HALI YA SEAN KINGSTON!!


Hii ni kwa wapenzi wote wa Muziki wa Sean Kingston.
'Fire Burning Hitmaker' kwa sasa anaendelea vyema,na anapumua mwenyewe bila ya msaada wa mashine ya kupumuli. Pia anaweza kutembea mwenyewe vizuri. S.k amekuwa ICU tangu alipopata ajali wakati akiendesha pikipiki ndogo ya kwenye maji ( jetski). Na hivi karibuni mama yake aliwatumia salamu watu wote ambao wamekuwa wakimwombea heri mwanaye. Na pia aliwashukuru wale waliomwokoa mwanae alipopata ajali.

No comments:

Post a Comment