SABABU 10 KWANINI SNOOP DOG ANAMKUBALI OBAMA NA SIO ROMNEY!
Ni siku chache zilizopita Snoop Dog alitangaza kubadili jina lake la kisanii kuwa Snoop Lion. Jamaa ambaye jina lake halisi ni Kevin Brodus Jr. anasema hawezi kumpa support Romney kwa sababu anajiona yeye (Romney) ni bora sana na siku zote amekuwa akiwaongelea watu vibaya na kujiona yeye ni mzuri zaidi yao.
Na anampa support Obama kwa sababu anafanya mambo kama yeye.
Hizi hapa ndio sababu 10 za snoop kumkubali Obama na sababu 10 za kutomkubali Romney
No comments:
Post a Comment