HAPA AKILAKIWA NA WATOTO WA SUDAN KUSINI. KUSHOTO NI MAMA SALMA KIKWETE NA KULIA NI RAIS WA SUDAN KUSINI JENERALI SALVA KIIR MAYARDIT
HAPA MAMA SALMA KIKWETE AKIPOKEA SHADA LA MAUA KUTOKA KWA MTOTO WAKATI AKIWASILI NA MUMEWE KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JUBA.
HAPA ZITTO KABWE AKIMPONGEZA RAIS WA SUDAN. ZITTO KABWE ALIKUWA NI MMOJA WA WATU WALIOKUWA KATIKA MSAFARA WA RAIS KIKWETE.
No comments:
Post a Comment