Monday, July 11, 2011
LUDACRIS KUTUA BONGO MWEZI HUU KWENYE TAMASHA LA FIESTA
Mkali wa Hiphop kutoka USA anatarajia kutua Tanzania mwezi huu katika tamasha la Fiesta ambalo kwa sasa linaendelea na linatarajia kuitimishwa jijini DSM katika viwanja vya Leaders Club. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo wa Clouds Media Group wakati akihojiwa kwa njia ya simu katika kipindi cha Power Breakfast cha Redio Clouds Fm amesema kuwa pia wanatarajia kumleta msanii mwingine wa kimataifa ambaye akumtaja jina. Tamasha la Fiesta kwa sasa linaendelea katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Ambapo mwisho wa wiki hii lilifanyika katika mikoa ya Mbeya na Iringa,na mwisho wa wiki hii litafanyika katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.
HIZI NI BAADHI YA NGOMA KALI AMBAZO LUDACRIS AMEFANYA,TAZAMA MWENYEWE
HIYO HAPO JUU AMEMSHIRIKISHA NICKI MINAJ-'MY CHICK IS BAD'
HIYO NAYO NI ILE ALIYOSHIRIKISHWA NA JUSTIN BIEBER- 'BABY'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment