RICK ROSS AKIWA NIGERIA HIVI KARIBUNI!!
Teflon Don a.k.a The Boss hivi karibuni alikuwa nchini Nigeria kuonesha upendo wa Maybach Music au MMG kama wengi wanavyopenda kutamka.
Hapa akiwa amesongwa na watu kibao...
Hapa akiwa anatazama swaga za mtoto wa Naija...
Takribani miezi michache iliyopita Rozay alifanya bonge la kolabo na wakali 2 kutoka Naija....Paul na Peter ambao wanaunda kundi la P-Square. Ambapo inaelezwa,ingawa haijathibitishwa kuwa P-Square walimlipa kiasi cha dola za marekani laki moja ili tu kufanya naye kollabo.
Kama ni mfuatiliaji wa You tube utaweza kuona video ya P-Square na Rick Ross imetazamwa na watu zaidi ya millioni nne,kiasi ambacho kwa bara letu la Afrika ni kikubwa sana.
''number one in the game and we gonna be here''
No comments:
Post a Comment