Thursday, June 16, 2011

HAPPY BIRTHDAY TUPAC!!!



Leo ni siku ya kuzaliwa ya Late Rap Icon Tupac Amaru Shakur. Jamaa alizaliwa June 16 1971. Na leo angelikuwa hai angekuwa anafikisha miaka 40. Tupac a.k.a Makavelli a.k.a Pac alifariki kwa kupigwa risasi mnamo Septemba 13 1996. Jamaa alikuwa ni miongoni mwa wakali wa Hiphop na movie.
AMANI IWE KWAKE TUPAC.

No comments:

Post a Comment