Sunday, July 10, 2011

SUNDERLAND:ASAMOH GYAN AENDI POPOTE.


 Bosi wa Sunderland Steve Bruce amesema itakuwa ngumu kwa klabu hiyo kumuuza mchezaji wao Asamoh Gyan kwa sababu bado wanamuhitaji. Mchezaji huyo amekuwa akwindwa na timu za Tottenham Hotspur na St Petersburgh. Bruce amesema hajapata ombi lolote kutoka kwa klabu yoyote ambayo inamuhitaji Asamoh Gyan.
Asamoh ameifungia Sunderland magoli 11 katika mechi 33 alizoichezea klabu hiyo tangu ilipomsajili mnamo Agosti 2010 kutokea klabu ya Renes ya Ufaransa kwa dau la paundi milioni 13.

No comments:

Post a Comment