Friday, August 26, 2011

KONDOO ALIYEZALIWA NA MAANDISHI YA KIARABU


Kondoo huyu amezaliwa akiwa na maandishi ya kiarabu yenye maana ya ''Yasin". Inaelezwa ''Yasin" ni moja ya aya zinazopatikana katika Quran na inazungumzia siku za mwisho. Kondoo huyu anaelezwa kuzaliwa katika eneo la Hai huko mkoa wa kilimanjaro Tanzania ameelezwa kuvutia watu wengi kiasi cha kufikia dau la milioni kumi za kitanzania sawa na dola za marekani 6250/-. Na moja ya maajabu ni kukua kwake kwa kasi na anaelezwa kutokupata tatizo lolote mpaka sasa akiwa na zaidi ya mwezi mmoja.

No comments:

Post a Comment